Nambari ya Simu ya Taarifa ya COVID-19 ya Jimbo: Bofya 1-800-525-0127, kisha ubonyeze #. Usaidizi wa lugha unapatikana.
- Jumatatu saa 12 asubuhi hadi saa 4 usiku
- Saa 12 asubuhi hadi saa 4 usiku Jumnne hadi Jumapili, na sikukuu za jimbo zinazofuatiliwa (Kiingereza pekee)
Tafadhali kumbuka: Kituo cha simu hakiwezi kufikia matokeo ya kipimo cha COVID-19. Ukiwa na maswali ya kipimo au matokeo, tafadhali wasiliana na mhudumu wako wa afya.
Tuma neno "Coronavirus" kwa 211211 ili kupokea taarifa na visasisho kwenye simu yako popote ulipo. Utapokea viungo vya taarifa ya hivi karibuni zaidi kuhusu COVID-19, ikiwemo visasisho vya kiwango cha kaunti na rasilimali za familia, biashara, wanafunzi na zaidi.
Tuma msimbo wako wa ZIP kwa 438-829 (GET VAX) ili kupata maeneo ya chanjo ya karibu na wewe.