Contact Us - Swahili

Washington State Department of Health (DOH, Idara ya Afya katika Jimbo la Washington) ina furaha ya kuanza kutoa huduma iliyorekebishwa ya ana kwa ana na mteja kwa rekodi muhimu (Kiingereza pekee) na utoaji leseni wa huduma ya afya (Kiingereza pekee). Tafadhali kumbuka: Huduma za ana kwa ana zinaweza kubadilika kadri ambavyo majukumu ya jimbo hupanuka na kurekebishwa.

Maswali ya kawaida kuhusu afya ya umma au ukiwa na maswali kuhusu mahali pa kutuma barua

Maswali kuhusu leseni, uwekaji upya na malalamiko

Kuagiza cheti cha kuzaliwa, kufa au ya ndoa

Programu na Huduma za Department of Health

Watumiaji wa TTY

  • Piga 711 ili kupata huduma ya Washington Relay

Usaidizi wa lugha (zitatolewa bila malipo)

Simu: 1-800-525-0127

Kuwasiliana na Kuunganisha

Maoni ya Department of Health (DOH, Idara ya Afya) | Saa na maeneo ya Ofisi (katika Kiingereza)